Afya
Wanawake nchini waongoza kuugua saratani kwa 70%
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), Dkt. Julius Mwaiselenge amesema ugonjwa wa saratani nchini unaendelea kuongezeka kwa kasi huku ...Hospitali ya Bugando yaanza utafiti kuhusu maji ya maiti kutumika kuhifadhia samaki
Kufuatia agizo la Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango kutaka kufanyike utafiti kuhusu kinachodaiwa kuwapo ongezeko la saratani mikoa ya Kanda ya ...Faida 7 za kufanya ‘meditation’ asubuhi
Mazoezi ya kutafakari (meditation) kila asubuhi ni mojawapo ya mambo bora zaidi unayoweza kujifanyia. Tafiti nyingi zinaonesha kwamba watu wanaotafakari asubuhi wana ...Fahamu madhara yanayotokana na kunywa maji kupita kiasi
Wataalamu mbalimbali wa afya nchini Tanzania wamesema unywaji wa maji kupita kiasi unaweza kuleta athari mbalimbali katika mwili wa binadamu. Daktari kutoka ...Watumishi Tanga wasimamishwa kazi kwa kuchelewa kufika eneo la ajali
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amewasimamisha kazi watumishi wa umma wawili ili kupisha uchunguzi wa sababu za kuchelewa kufika katika ...Utafiti: Asilimia 30 ya watu nchini wana tatizo la ugumba
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema imejipanga kupitia upya gharama za upandikizaji wa mimba kwa wananchi wenye matatizo ya kutopata watoto ili ...