Afya
Masharti manne yaliopunguzwa Bima ya Afya kwa Wote
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali imesikia maoni ya Watanzania hivyo kufanya marekebisho ya Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya ...Sigara bandia za TZS milioni 573 zateketezwa
Kikosi cha kuzuia na kupambana magendo Kanda ya Ziwa kimeteketeza tani 13.25 za sigara bandia mkoani Shinyanga zilizokuwa zinaingizwa nchini. Akizungumza wakati ...Uvaaji viatu virefu husababisha matatizo ya nyonga na mgongo
Daktari bingwa kutoka Taasisi ya Mifupa (MOI) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Willium Mgisha amesema watu wanaovaa viatu vyenye visigino virefu kwa ...Watumishi wa afya walioonekana wakibishana wasimamishwa kazi
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Uyuwi, Dkt. Kija Maige amemsimamisha kazi Muuguzi Mkunga, Rose Shirima na Mtekenolojia wa Maabara, James Getogo wa ...Watoto 18 wafariki baada ya kunywa dawa yenye ‘sumu’
Takriban watoto 18 wamefariki dunia nchini Uzbekistan baada ya kunywa dawa iliyotengenezwa na mtengenezaji wa dawa wa India Marion Biotech, kulingana na ...