Afya
Mwongozo wa gharama za matibabu kuanza kutumika mwaka 2023
Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kuja na mwongozo wa gharama za matibabu katika vituo vya kutolea huduma za afya vya umma ...Utafiti: Wagonjwa wa moyo ambao hawajaoa wako hatarini zaidi kufariki
Watafiti wamegundua kwamba wagonjwa ambao hawajaoa na wenye matatizo ya moyo wako kwenye hatari zaidi wakilinganishwa na wagonjwa walio katika ndoa. Watafiti ...Wakulima waonywa kutokunywa maziwa wanapoathiriwa na viuatilifu
Wakulima wametakiwa kutotumia maziwa kama huduma ya kwanza wanapoathiriwa na viuatilifu wakati wa kuvitumia katika mazao shambani au nyumbani. Hilo ni kutokana ...Mambo 6 ya kuzingatia katika mwezi wa mwisho kabla ya kujifungua
Kuwa mzazi ni mojawapo ya zawadi kubwa zaidi ulimwenguni. Mwezi wa mwisho katika ujauzito wako ni hatua muhimu kwani ndiyo mwezi uliojawa ...Virusi vya Ebola hujificha kwenye mbegu za kiume kwa miezi sita
Mratibu wa kukinga na kudhibiti maambukizi Wizara ya Afya, Dkt. Joseph Hokororo amesema mgonjwa wa Ebola anapopona, bado anaweza kuambukiza mtu mwingine ...