Afya
Kenya yakumbwa na uhaba wa kondomu
Mashirika ya kiraia nchini Kenya yamelalamikia kuwepo kwa uhaba mkubwa wa kondomu za bure kote nchini humo kutokana na ushuru kuwa mkubwa. ...Lindi: Watoto wa miaka 8 wachomwa sindano za kuzuia mimba
Baadhi ya wazazi wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi wamedaiwa kuwalazimisha watoto wao wa kike kuchomwa sindano za kuzuia kupata ujauzito kitendo kinachowaweka ...Sababu 8 za kuota mvi katika umri mdogo
Mwili wako una vinyweleo ambavyo ni vifuko vidogo vilivyo na seli maalum za rangi ambazo huzingira nywele. Seli hizi za rangi zinaitwa ...Mbosso aeleza tatizo la moyo linavyoathiri muziki wake
Mwanamuziki Mbwana Yusuph ‘Mbosso’ amemesema amekuwa akisumbuliwa na shida ya moyo ambayo imekuwa ikimpa maumivu makali pamoja na ganzi kwenye mikono inayosababisha ...RC Makalla: Mgao wa maji Dar umeisha
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema mgao wa maji katika mkoa huo umefika mwisho mara baada ya kuongezeka ...Watafiti wabaini kupungua kwa manii kwa wanaume
Katika kipindi cha miaka 50 iliyopita, idadi ya mbegu za kiume za binadamu imeonekana kupungua kwa zaidi ya asilimia 50 kote ulimwenguni, ...