Afya
Serikali yaombwa kupandisha gharama ya vipimo vya DNA
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imepeleka pendekezo kwa Serikali kuomba kupandishwa bei ya kipimo cha vinasaba, bei ambayo itahusisha ...Geita: Mtoto aliyechomwa mikono na mama yake kisa wizi aeleza ukweli
Mwanafunzi aliyekuwa anasoma darasa la saba katika Shule ya Msingi Shahende, Kata ya Butobela, wilaya ya Geita mkoani Geita, Helena Paul (13) ...Vifurushi vya Bima ya Afya kwa Wote vinavyopendekezwa na Serikali
Kiwango cha kujiunga na Bima ya Afya kwa Wote ni TZS 340,000 kwa kaya ya watu sita akiwemo mchangiaji, mwenza wake na ...Jafo ashauri majeshi na shule kuachana na kuni na mkaa
Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Seleman Jafo amehimiza shule zote za sekondari (Binafisi naza Serikali) ...Aliyeambiwa ana saratani na kutolewa tezi kimakosa azidai hospitali milioni 500
Florence Samwel ambaye ni mtumishi wa Wizara ya Kilimo amezishtaki Hospitali za TMJ na Hindu Mandal pamoja na Dkt. Maurice Mavura katika ...