Afya
Mtanzania afariki kwa Ebola nchini Uganda
Daktari ambaye ni raia wa Tanzania (37) aliyekuwa akisomea Shahada ya Uzamili ya Udaktari kwenye Upasuaji katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha ...Rais Samia: Vijana wengi wamekosa lishe bora
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na matatizo yanayowapata vijana wengi na kushindwa kuzaa watoto wenye afya njema, chanzo kikuu ni kukosa ...Meridianbet waongoza zoezi la usafi Upanga
Kampuni ya meridianbet imeongoza zoezi la usafi katika maeneo ya bustani inayomilikiwa na serikali Upanga, Mtaa wa Charambe. Serikali ya mtaa wa ...Tafiti: Wagonjwa wa moyo nchini waongezeka kutoka 60 hadi 500 kwa siku
Wataalamu wa moyo wamesema magonjwa ya moyo yanazidi kuongezeka nchini huku imani potofu zikiendelea kusambaa kuhusu tiba ya magonjwa hayo. Ameyasema hayo ...Hii ndiyo mikoa mitano nchini iliyopo hatarini kupata Ebola
Serikali imesema uchambuzi uliofanywa umebaini kuwa mikoa iliyo hatarini zaidi kupata ugonjwa wa Ebola ni Kagera, Mwanza, Kigoma, Geita na Mara. Aidha, ...Historia yaandikwa Mtwara upasuaji wa kibingwa wa mifupa
Upasuaji wa kibingwa wafanyika Mtwara kwa mara ya kwanza Usimikaji wa mitambo ya kisasa umefanyika kwenye hospitali. Huduma za kibingwa za Taasisi ...