Afya
Dalili 3 zinazoonesha kushindwa kwa moyo bila wewe kujua
Katika nchi zinazoendelea ugonjwa huu unazuka kwa kasi kubwa, hiyo inasababishwa na kubadilika kwa mfumo wa maisha na kutojishughulisha au kutokufanya mazoezi. ...Madaktari waomba wanaojaribu kujiua wasishtakiwe
Madaktari wanaoratibu magonjwa ya afya ya akili wameiomba Serikali kupitia upya sheria ya kuwafunga watu wanaofanya jaribio la kujiua ili wapatiwe tiba ...Muuguzi Amana afikishwa mahakamani kwa kumbaka, kumlawiti mtoto
Muuguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Amana jijini Dar es Salaam, Joseph Mwampola (59) amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na ...Mtoto aharibiwa mkono kwa uzembe wa madaktari
Mtoto Nassoro Rashid (1) amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na kupata madhara ya kiafya ambayo wazazi ...Serikali yaondoa ulazima wa uvaaji barakoa
Serikali imeondoa ulazima wa kuvaa barakoa nchini kutokana na kuendelea kupungua kwa hali ya maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO-19 duniani kote. Akizungumza ...