Afya
Korea yaipa Tanzania mkopo wa bilioni 427 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Korea zimesaini Mkataba wa Mkopo nafuu wa Dola za Marekani milioni 163.6 [TZS bilioni ...Kwanini haishauriwi kula ndizi pekee kama kifungua kinywa?
Kifungua kinywa ni mlo muhimu unaoanzisha siku yako kwa kutoa nishati na virutubishi muhimu vinavyohitajika mwilini. Ingawa ndizi ni tunda lenye virutubishi ...Idadi ya wasichana wanaoambukizwa UKIMWI Zanzibar yaongezeka
Mkurugenzi wa Tume ya UKIMWI Zanzibar, Dkt. Ahmed Mohamed Khatib amesema ingawa idadi ya watu wanaopata maambukizi mapya ya Virusi Vya Ukimwi ...Wadau: Bila D 5 huwezi kusomea Ufamasia
Katika kuboresha huduma za afya nchini, wadau katika sekta mbalimbali wameazimia kuboresha mtaala wa kozi ya ufamasia kwa kuboresha kigezo cha kujiunga ...Mfahamu Hayati Mansoor Daya, mwanzilishi wa kiwanda cha kwanza cha dawa nchini
Mwanzilishi wa kwanza wa kiwanda cha dawa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Mansoor Daya alifariki dunia jana jijini Dar es Salaam. Hadi ...Dawa za kulevya kilogramu milioni 1.96 zakamatwa nchini mwaka 2023
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola imefanikisha kukamata jumla ya kilogramu ...