Afya
Utafiti: Wanawake huathirika zaidi na uchafuzi wa hewa kuliko wanaume
Katika utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Manitoba, Winnipeg, Kanada umebaini kuwa athari za uchafuzi wa hali ya hewa huenda zikawa kali ...Morocco: Wanawake kupewa likizo yenye malipo wakati wa hedhi
Kikundi cha haki za kijami cha shirika la Bunge la nchini Morocco kimependekeza muswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi ...Kulala kupita kiasi kunavyoweza kusababisha kifo
Kulala kupita kiasi kunaitwa hypersomnia au “kulala kwa muda mrefu.” Hali hii huathiri takribani asilimia 2 ya watu. Watu walio na hypersomnia ...Ummy: Wanaorudia vipimo wanaidhoofisha NHIF
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema chanzo cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuyumba ni pamoja na kuwepo kwa ...Marufuku ulaji nyama ya nguruwe
Wakazi wa Kata ya Tandala wilayani Makete, mkoani Njombe wamepigwa marufuku kuchinja na kula nyama ya nguruwe kwa muda usiojulikana kutokana na ...Madhara 5 ya kutafuna kucha na jinsi ya kuacha
Watoto wengi na vijana wamekuwa wakipitia hali hii ya kutafuna kucha, lakini wengi wao kadri wanavyokua huiacha tabia hii. Wataalamu wanasema hakuna ...