Afya
Msako wa mifuko ya plastiki kuanza Jumatatu
• Operesheni ya kukamata mifuko ya plastiki iliyozuiliwa kuanza rasmi Jumatatu jijini Dar es Salaam . • Makamu wa Rais, Dkt. Philip ...Matibabu ya fistula kutolewa katika hospitali zote za mikoa
Matibabu ya fistula kutolewa katika hospitali za mikoa Serikali imeweka mkakati wa kuboresha huduma ya Mama na Mtoto. Waziri wa ...Operesheni kukamata wanaotumia mifuko ya plastiki yatangazwa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla ametangaza operesheni ya kukamata mifuko ya plastiki iliyokatazwa nchini na kuwataka wananchi kujiepusha ...Rehema, pacha aliyesalia baada ya kutenganishwa Muhimbili afariki
Pacha Rehema ambaye alibaki hai baada ya kutenganishwa na mwenzake Neema kufariki dunia, naye amefariki. Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema kuwa Rehema ...Wanawake waongoza kuugua maradhi ya moyo
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imesema katika kipindi cha siku 39 kuanzia mwaka wa fedha 2022/23, imetoa huduma kwa wagonjwa ...Wanaume washauriwa kusimamia wake zao wanyonyeshe
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Huduma na Lishe wa Wizara ya Afya, Dk Grace Mosha amewataka wanaume kuwashauri na kuwasimamia wake ...