Afya
Serikali yaja na mkakati kuwezesha wanafunzi wote kupata chakula shuleni
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema ili kupata matokeo mazuri ya elimu ni lazima kuhakikisha upatikanaji wa lishe bora ...Tahadhari kwa wanawake wanaotumia dawa za kusimamisha matiti
Madaktari wameonya matumizi holela ya dawa za kusimamisha matiti kwa wanawake kwa kuwa dawa hizo zinamuweka mtu katika hatari ya kupata magonjwa. ...Dalili 3 zinazoonesha kushindwa kwa moyo bila wewe kujua
Katika nchi zinazoendelea ugonjwa huu unazuka kwa kasi kubwa, hiyo inasababishwa na kubadilika kwa mfumo wa maisha na kutojishughulisha au kutokufanya mazoezi. ...Madaktari waomba wanaojaribu kujiua wasishtakiwe
Madaktari wanaoratibu magonjwa ya afya ya akili wameiomba Serikali kupitia upya sheria ya kuwafunga watu wanaofanya jaribio la kujiua ili wapatiwe tiba ...