Afya
Muuguzi Amana afikishwa mahakamani kwa kumbaka, kumlawiti mtoto
Muuguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Amana jijini Dar es Salaam, Joseph Mwampola (59) amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na ...Mtoto aharibiwa mkono kwa uzembe wa madaktari
Mtoto Nassoro Rashid (1) amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na kupata madhara ya kiafya ambayo wazazi ...Serikali yaondoa ulazima wa uvaaji barakoa
Serikali imeondoa ulazima wa kuvaa barakoa nchini kutokana na kuendelea kupungua kwa hali ya maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO-19 duniani kote. Akizungumza ...Wanaoishi na VVU washauriwa kuacha ngono zembe
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi kutoacha kutumia dawa za kufubaza virusi vya ugonjwa huo (ARVs) ...Watoto wafariki baada ya wazazi kuwapaka kinyesi kukausha vitovu
Watoto takribani 306 katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama wamepoteza maisha kutokana na wazazi wao kuwapaka kinyesi cha wanyama kwenye vitovu vyao ...