Afya
Waliozaliwa na jinsia mbili washauriwa kwenda hospitalini peke yao
Watanzania waliozaliwa na changamoto ya ulemavu wa kuwa na jinsia mbili wameshauriwa kwenda hospitalini peke yao wanapofikisha umri wa miaka 18 kwa ...Wazazi watakaokaidi chanjo ya polio kutozwa faini
Wananchi wametakiwa kuwatoa watoto wao wenye umri chini ya miaka mitano kupata chanjo ya Polio awamu ya tatu, na kwa wale watakaokaidi ...Utafiti: Wanawake huathirika zaidi na uchafuzi wa hewa kuliko wanaume
Katika utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Manitoba, Winnipeg, Kanada umebaini kuwa athari za uchafuzi wa hali ya hewa huenda zikawa kali ...Morocco: Wanawake kupewa likizo yenye malipo wakati wa hedhi
Kikundi cha haki za kijami cha shirika la Bunge la nchini Morocco kimependekeza muswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi ...Kulala kupita kiasi kunavyoweza kusababisha kifo
Kulala kupita kiasi kunaitwa hypersomnia au “kulala kwa muda mrefu.” Hali hii huathiri takribani asilimia 2 ya watu. Watu walio na hypersomnia ...Ummy: Wanaorudia vipimo wanaidhoofisha NHIF
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema chanzo cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuyumba ni pamoja na kuwepo kwa ...