Afya
Madhara ya kukaa kwenye kiti kwa muda mrefu
Wafanyakazi wanaokaa kwa muda mrefu kwenye viti wameshauriwa kujenga tabia ya kusimaa na kufanya mazoezi ya kunyoosha mwili ili kuondokana na hatari ...Shirika la Afya Duniani linachunguza ugonjwa ulioua watatu Lindi
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema majibu kamili ya ugonjwa ulioibuka mkoani Lindi yatapatikana, kwakuwa Tanzania ina uwezo wa kuchunguza magonjwa ambukizi ...Nchi 20 zinazoongoza kwa rushwa Afrika
Shirika la Transparency International (CPI) linalopambana na rushwa duniani limetoa ripoti yake ya kila mwaka ya rushwa. Nakala ya ripoti hiyo imeonyesha ...Madaktari waeleza madhara ya kutumia mate kama kilainishi wakati wa kujamiiana
Wataalam wa afya wamewatahadharisha watu wanaotumia mate ukeni kama kilainishi kwa ajili ya kuleta ladha wakati wa kujamiiana kwamba kunaongeza magonjwa yanayosababishwa ...Tanzania yashika nafasi ya 5 uvutaji bangi nyingi Afrika
Ripoti ya hivi karibuni kuhusu matumizi ya tumbaku iliyofanywa na kikundi cha kampeni ya afya ya umma na wasomi wa Marekani imegundua ...Utafiti: Wanaowahudumia wenye magonjwa yasiyoambukiza hatarini kupata magonjwa hayo
Utafiti wa Wataalamu kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) umebaini watu wanaotunza wagonjwa wanaougua magonjwa yasiyo ya kuambukiza (NCDs), wana ...