Afya
Mfahamu Hayati Mansoor Daya, mwanzilishi wa kiwanda cha kwanza cha dawa nchini
Mwanzilishi wa kwanza wa kiwanda cha dawa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Mansoor Daya alifariki dunia jana jijini Dar es Salaam. Hadi ...Dawa za kulevya kilogramu milioni 1.96 zakamatwa nchini mwaka 2023
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola imefanikisha kukamata jumla ya kilogramu ...Mabaki ya panya yapatikana kwenye mikate Japan, kiwanda chasimamishwa
Kampuni maarufu ya mikate nchini Japan iitwayo Pasco Shikishima imeagiza kurejeshwa kwa maelfu ya mikate na wateja kurejeshewa pesa zao baada ya ...NHIF yarejesha dawa 178 zilizoondolewa
Mfuko wa Bima ya Taifa (NHIF), umerejesha dawa 178 pamoja na kujumuisha dawa nne zilizokuwepo kwenye mwongozo wa Taifa wa matibabu lakini ...Vifo vya Saratani kufikia milioni 1 mwaka 2030
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimy amebainisha kuwa takribani wagonjwa wapya wa Saratani 40,000 hugunduliwa kila mwaka na karibu jumla ya watu 27,000 ...Serikali yapiga marufuku uvutaji sigara maeneo ya wazi
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ...