Afya
Takwimu zaonesha wanawake wanaongoza matumizi ya dawa za kulevya
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limesema idadi ya wanawake wanaotumia dawa za kulevya mkoani humo inaongezeka zaidi ikilinganishwa na idadi ya wanaume. ...Mambo yanayokuweka kwenye hatari ya kuugua ugonjwa wa Ini
Virusi vya homa ya ini vipo vya aina 5 (A,B,C,D,E). Aina mbili za virusi (B Na C ) zimetajwa kuwa ndio sababu ...Fahamu magonjwa 6 yanayosababishwa na matumizi ya chumvi nyingi
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mtu mzima anatakiwa kutumia kiwango cha chumvi kisichozidi gramu tano kwa siku ili kupunguza ...Watumishi sekta ya afya wagoma Zimbabwe
Mamia ya watumishi wa umma wa sekta ya afya nchini Zimbabwe wamegoma kutoa huduma kutokana na mishahara kuwa midogo na mazingira duni ...Athari 5 za kuvaa Earphones kwa muda mrefu
Ni jambo la kawaida kumkuta mtu ameweka masikioni vipokea sauti masikioni(EarPhones) huku akiendelea na shughuli zake. Vifaa hivi vimekua kama msaada wa ...Afariki kwa kunywa pombe akiwa kwenye dozi
Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Noel Mfoi (20) mkazi wa Sanya Juu Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro amefarikia dunia kwa ...