Afya
Watanzania wengi hatarini kuwa vipofu
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Watanzania wengi wako kwenye hatari ya kupata upofu wa macho kutokana na kutokuwepo huduma za matibabu. ...Tahadhari Homa ya Mgunda kwa walaji wa nyama choma
Wizara ya Afya imetoa tahadhari kwa walaji wa nyama choma ‘mishikaki’ kuhakikisha kuwa nyama zinaiva vizuri ili kuepukana na hatari ya kupata ...Watoto watano wafariki kwa ugonjwa usiojulikana Arusha
Watoto watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mswakini wilayani Monduli, mkoa wa Arusha, wamefariki dunia kwa ugonjwa ambao bado haujatambulika ...Ifahamu Homa ya Mgunda iliyoibuka Lindi, inavyoenea na namna ya kujikinga
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua ugonjwa usiojulikana katika Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi ...Madhara ya kukaa kwenye kiti kwa muda mrefu
Wafanyakazi wanaokaa kwa muda mrefu kwenye viti wameshauriwa kujenga tabia ya kusimaa na kufanya mazoezi ya kunyoosha mwili ili kuondokana na hatari ...Shirika la Afya Duniani linachunguza ugonjwa ulioua watatu Lindi
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema majibu kamili ya ugonjwa ulioibuka mkoani Lindi yatapatikana, kwakuwa Tanzania ina uwezo wa kuchunguza magonjwa ambukizi ...