Afya
Bashungwa aagiza waganga wakuu kukomesha kauli mbaya za wauguzi
Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa kusimima nidhamu ya wauguzi katika vituo vya kutolea huduma za afya ikiwemo ...Aina mbili za sababu za kutoa harufu mbaya kinywani
Harufu ya kinywa ama ‘halitosis’ ni tatizo linalowapata watu wengi ulimwenguni. Hali hii imekuwa ikihusishwa na usafi wa kinywa lakini pia matatizo ...Fahamu dalili na namna ya kujikinga na Homa ya Nyani (Monkeypox)
Wizara ya Afya imetoa tahadhari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Nyani (Monkeypox) ambao umetamalaki nchi mbalimbali duniani. Naibu Waziri ...Watu milioni 250 hatarini kukumbwa na njaa duniani
Mfumo wa chakuka duniani umeathirika kwa kiasi kikubwa na kuwaweka takribani watu milioni 250 katika hatari ya kukumbwa na njaa, hali inayoweza ...Namna ngono ya mdomo inavyoeneza maambukizi ya UKIMWI
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya DARE, Dkt. Lilian Benjamin ameishauri jamii kuachana na ngono kwa njia ya mdomo kwa kuwa inachangia maambukizi ...Wagonjwa wa VVU, kisukari kufuatiliwa nyumba kwa nyumba
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, Seleman Msumi amesema halmashauri imeunda kamati maalum kwa ajili ya kuwafuatilia wagonjwa wenye maambukizi ya ...