Afya
Mmoja wa mapacha waliotenganishwa afariki
Neema, mmoja wa mapacha waliotenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Julai 1, 2022 amefariki dunia. Muhimbili imeeleza kuwa Neema na Rehema walifanikiwa ...TMDA kudhibiti matumizi ya Viagra na P2
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), imesema inafanyia utafiti dawa za nguvu za kiume aina ya Viagra pamoja na kuwekea mkakati ...Maabara ya Taifa ya Jamii kupima ubora wa majibu kwa magonjwa ya binadamu
Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imeanza kuandaa sampuli kwa ajili ya kupima ubora wa majibu yanayopimwa kwa magonjwa ...Kwanini wanaume, kwa wastani hufa kwanza?
Imeelezwa kuwa wanawake huishi umri mrefu zaidi kuliko wanaume. Mwaka 2018, wastani wa umri wa kuishi ulikuwa miaka 76.2 kwa wanaume na ...Utafiti: Waliougua UVIKO19 hatarini kupata upungufu wa nguvu za kiume
Wizara ya Afya imesema utafiti umebaini kuwa wanaume waliougua ugonjwa wa UVIKO-19 wako katika hatari ya kupata upungufu wa nguvu za kiume. ...