Afya
Ripoti ya Polio nchini Malawi yaishtua serikali ya Tanzania
Ofisa Programu wa Wizara ya Afya katika Mpango wa Taifa wa Chanjo, Lotalia Gadau amesema kampeni ya chanjo ya matone ya polio ...Asilimia 10 ya Watanzania wana Kisukari
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga, Dk. Omary Ubuguyu amebainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, zaidi ya milioni 5.7 (takribani asilimia ...Biskuti yamponza dereva bodaboda
Ivan Cheyo (18), dereva wa bodaboda mkazi wa Vwawa wilayani Mbozi mkoani Songwe, amejikuta akiwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa baada ...Bibi Harusi akamatwa kwa kuwalisha wageni bangi
Polisi wamemkamata bibi harusi, Danya Svoboda na mhudumu wake baada ya kubaini kuwa waliweka bangi kwenye chakula ambacho kilitolewa kwa wageni kweye ...Taarifa ya Polisi kuhusu mwili wa Padri uliokutwa ndani ya tenki la maji
Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema linaendelea kuchunguza kwa kina kifo cha Paroko wa Parokia ya Mbezi Mshikamano, Padri Francis ...