Afya
Fahamu magonjwa 6 yanayosababishwa na matumizi ya chumvi nyingi
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mtu mzima anatakiwa kutumia kiwango cha chumvi kisichozidi gramu tano kwa siku ili kupunguza ...Watumishi sekta ya afya wagoma Zimbabwe
Mamia ya watumishi wa umma wa sekta ya afya nchini Zimbabwe wamegoma kutoa huduma kutokana na mishahara kuwa midogo na mazingira duni ...Athari 5 za kuvaa Earphones kwa muda mrefu
Ni jambo la kawaida kumkuta mtu ameweka masikioni vipokea sauti masikioni(EarPhones) huku akiendelea na shughuli zake. Vifaa hivi vimekua kama msaada wa ...Afariki kwa kunywa pombe akiwa kwenye dozi
Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Noel Mfoi (20) mkazi wa Sanya Juu Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro amefarikia dunia kwa ...Namna bora ya kujitunza wakati wa ujauzito
Wakati wa ujauzito ni wakati ambao unahitaji kufanya vitu kwa uangalifu zaidi na kufuata taratibu zilizopendekezwa na wataalam, kwani makosa yoyote yanayofanyika ...Vyanzo vikuu vinne vya ugonjwa wa Figo
Ugonjwa wa Figo huogopwa sana kwani sayansi ya matibabu haina tiba yake. Magonjwa ya kudhoofisha ya figo yanaongezeka kwa haraka sana duniani ...