Afya
Nchi 20 zinazoongoza kwa rushwa Afrika
Shirika la Transparency International (CPI) linalopambana na rushwa duniani limetoa ripoti yake ya kila mwaka ya rushwa. Nakala ya ripoti hiyo imeonyesha ...Madaktari waeleza madhara ya kutumia mate kama kilainishi wakati wa kujamiiana
Wataalam wa afya wamewatahadharisha watu wanaotumia mate ukeni kama kilainishi kwa ajili ya kuleta ladha wakati wa kujamiiana kwamba kunaongeza magonjwa yanayosababishwa ...Tanzania yashika nafasi ya 5 uvutaji bangi nyingi Afrika
Ripoti ya hivi karibuni kuhusu matumizi ya tumbaku iliyofanywa na kikundi cha kampeni ya afya ya umma na wasomi wa Marekani imegundua ...Utafiti: Wanaowahudumia wenye magonjwa yasiyoambukiza hatarini kupata magonjwa hayo
Utafiti wa Wataalamu kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) umebaini watu wanaotunza wagonjwa wanaougua magonjwa yasiyo ya kuambukiza (NCDs), wana ...Hizi ni faida 5 za kula bamia
Ulaji wa bamia umekuwa ukikimbiwa na watu wengi licha ya kutajwa kuwa msaada mkubwa katika mwili wa binadamu. Kwa mujibu wa tovuti ...MUHAS yagundua dawa za kuongeza kumbukumbu
Watafiti katika Taasisi ya Tiba ya Asili kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), wametengeneza dawa ya kusaidia kuongeza ...









