Afya
Mhadhiri asimamishwa kwa tuhuma za rushwa ya ngono
Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimemsimamisha kazi Mhadhiri, Adam Semlambo ili kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma ya rushwa ya ngono baada ya kusambaa ...Binti asimulia alivyoficha mimba akiwa shule, na alivyopokea agizo la Rais Samia
Rahabu Lugenge anayeishi katika Kijiji cha Lupembe kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, amesimulia mkasa wake wa kupata mimba akiwa mwanafunzi ...Serikali kuwawajibisha wazazi wenye watoto wa mitaani
Waziri wa wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa serikali inatarajia kuja na oparesheni maalum ...Wakenya washindwa kula milo mitatu kwa siku
Wananchi Kenya wameendelea kutoa malalamiko yao kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na kupanda kwa bei mbalimbali za bidhaa na kufanya iwe vigumu ...Wananchi waeleza kupata ahueni kwa kuimarishwa kitengo cha kusafisha damu Hospitali ya Rufaa Tanga
Wananchi wa Mkoa wa Tanga wamepata ahueni ya matibabu, baada Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga kufanyiwa maboresho yakiwemo kuanzishwa kitengo ...Ujenzi wa kituo cha afya wamfuta machozi ya kufiwa na Mjukuu wake
Mkazi wa Kata ya Lilambo, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Juma Msangi amesema fedha zaidi ya TZS milioni 700 zilizotolewa na Rais ...