Afya
Mtoto atolewa sarafu iliyokwama kooni
Wataalamu katika Idara ya ENT ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) wamefanikiwa kuitoa sarafu iliyokuwa imekwama kwenye koo la mtoto mdogo kwa ...Mjamzito afariki kwa kuongezewa damu kimakosa mkoani Tanga
Watumishi watano wa Kituo cha Afya Mikanjuni wamesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi baada ya kudaiwa kufanya uzembe na kusababisha kifo cha mjamzito, ...MOI: Asilimia 60 wanaopata ajali za bodaboda wanaathiri ubongo
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Profesa Abel Makubi amesema asilimia 60 ya majeruhi wa ajali hasa ajali zinazohusiana ...Tanzania yapokea trilioni 1.4 kukabiliana na Malaria, TB na UKIMWI
Serikali imepokea Dola za Kimarekani milioni 602, sawa na trilioni 1.4 za Kitanzania kwa ajili ya kukabiliana na magonjwa ya Malaria, Kifua ...TBS yasema vyakula vilivyotolewa na Marekani ni salama
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema msaada wa chakula uliotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa kushirikiana na Taasisi ya Jumuiya ...Fahamu chanzo cha kwikwi na namna ya kuizuia
Kwikwi hutokana na kushtuka na kusinyaa ghafla kwa misuli mikuu ya upumuaji (diaphragm) ambako hujirudia rudia na kusababisha hewa kuingia kwa kasi ...