Afya
Zanzibar yazindua teknolojia ya kupima UVIKO19 kwa haraka zaidi
Zanzibar imeingia kwenye historia ya kuwa nchi ya kwanza Afrika kuzindua teknolojia mpya ya haraka ya upimaji wa Virusi vya UVIKO19, itakayoweza ...Dada wa kazi raia wa Uganda atolewa figo Saudi Arabia
Judith Nakintu (38), raia wa Uganda amethibitika kutolewa figo baada ya kuchukuliwa na kampuni ya Nile Treasure Gate mnamo mwaka 2019 kwa ...Tanzania kutengeneza chanjo za UVIKO19
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake ina mipango ya kuanzisha kiwanda cha kuzalisha chanjo za COVID-19 na maradhi mengine ndani ya ...Kenya yakabiliwa na uhaba wa kondomu
Baraza la Taifa la Kudhibiti UKIMWI nchini Kenya (NACC) limesema kuwa nchi hiyo inakabiliwa na uhaba wa kondomu ambapo mahitaji yake yanafikia ...Wapinga adhabu ya kifungo kwa wanaokataa kuchanjwa
Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu nchini Uganda yamepinga sheria ya kufungwa jela kwa watu watakaokataa chanjo katika milipuko ya magonjwa, ...Utafiti: Pombe zinasababisha mihemko ya kutaka kujamiiana
Licha ya Tanzania kuwa na Sheria ya Vileo na sheria nyingine ambatanishi, lakini matumizi holela ya pombe zenye asilimia kubwa ya ...