Afya
UTAFITI: Matumizi ya plastiki yanavyosababisha tatizo la nguvu za kiume na saratani ya matiti
Matumizi ya bidhaa za plastiki au raba kupikia au kuchoma vyakula kumeelezwa kuwa hatarishi ambapo huweza kupelekea mpishi na mlaji kupata magonjwa ...Wizara: Kukohoa, mafua, uchovu ni hali ya kawaida kila mwaka
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa imebaini uwepo wa ongezeko la wananchi kupata dalili za mafua, ...Rais Samia aitenganisha Wizara ya Afya
Rais Samia Suluhu Hassan, ameiondoa Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya ili iweze kufanyakazi kwa ufanisi zaidi. Rais ...Mahakama yatengua zuio lililowekwa dhidi ya wasiochanjwa
Mahakama ya juu nchini Kenya imesitisha agizo la serikali linalotaka kuwazuwia watu ambao hawajapata chanjo kutoruhusiwa kuingia na kupata huduma kwatik ofisi ...UVIKO19: Marekani yaiweka Tanzania katika orodha ya nchi hatarishi kutembelea
Marekani imeijumuisha Tanzania katika orodha ya nchi sita ambazo imewatahadhari raia wake kuzitembelea. Kituo cha kuzuia na kupambana na magonjwa cha Marekani ...Marufuku kurusha matangazo ya tiba asili bila kibali
Baraza la Tiba Asili na na Tiba Mbadala limepiga marufuku matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala katika vituo vya habari ...