Afya
Majibu ya serikali kuhusu bima ya afya kwa wote
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima amesema kwamba kikosi kazi maalum kinafanyia maboresho pendekezo ...UTAFITI: Wanaokula udongo wanaugua ugonjwa wa akili
Mwanasaikolojia Charles Kalungu kutoka shirika la Psychezone International amesema watu wanaopendelea kula vitu visivyo chakula na visivyo na manufaa yoyote ya kilishe ...Aina 6 za vyakula vinavyosababisha Saratani unavyokula kila siku
Mwanadamu anahitaji chakula ili kuupa mwili nguvu aweze kuishi na kutekeleza majukumu yake ya kila siku. Lakini katika mchakato huo, wakati mwingine ...Polisi Tanga wapewa rungu dhidi ya wanawake wanaojiuza
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Hashim Mgandilwa ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha biashara ya madanguro maarufu kama madada poa inakoma ...UTAFITI: Sababu kuu 5 zinachopelekea rushwa ya ngono vyuoni
Mjadala kuhusu rushwa ya ngono umeshika kasi hasa kwenye mtandao wa Twitter kwa siku mbili sasa. Mvutano mkubwa ukiwa katika kubainisha chanzo ...Rushwa ya ngono ni kosa la uhujumu uchumi
Kwa mujibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), mtu atakayekamatwa kwa tuhuma za rushwa ya ngono, atafunguliwa shtaka la ...