Afya
Serikali kuwawajibisha wazazi wenye watoto wa mitaani
Waziri wa wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa serikali inatarajia kuja na oparesheni maalum ...Wakenya washindwa kula milo mitatu kwa siku
Wananchi Kenya wameendelea kutoa malalamiko yao kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na kupanda kwa bei mbalimbali za bidhaa na kufanya iwe vigumu ...Wananchi waeleza kupata ahueni kwa kuimarishwa kitengo cha kusafisha damu Hospitali ya Rufaa Tanga
Wananchi wa Mkoa wa Tanga wamepata ahueni ya matibabu, baada Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga kufanyiwa maboresho yakiwemo kuanzishwa kitengo ...Ujenzi wa kituo cha afya wamfuta machozi ya kufiwa na Mjukuu wake
Mkazi wa Kata ya Lilambo, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Juma Msangi amesema fedha zaidi ya TZS milioni 700 zilizotolewa na Rais ...Zanzibar yazindua teknolojia ya kupima UVIKO19 kwa haraka zaidi
Zanzibar imeingia kwenye historia ya kuwa nchi ya kwanza Afrika kuzindua teknolojia mpya ya haraka ya upimaji wa Virusi vya UVIKO19, itakayoweza ...Dada wa kazi raia wa Uganda atolewa figo Saudi Arabia
Judith Nakintu (38), raia wa Uganda amethibitika kutolewa figo baada ya kuchukuliwa na kampuni ya Nile Treasure Gate mnamo mwaka 2019 kwa ...