Afya
Chanjo ya Malaria yapatikana baada ya miaka 30 ya tafiti
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Tedros Ghebreyesus akitangaza pendekezo la shirika hilo la matumizi ya chanjo ya kwanza ...Tanzania kutoa takwimu za Corona kila wiki
Serikali imesema kuwa inatakuwa inatoa takimu za maambukizi ya Virusi vya Ugonjwa wa Korona (UVIKO19) kila wiki, huku ikiwahimiza wananchi kuendelea kuchukua ...Ujumbe wa Dkt. Shoo kwa Wakristo kuhusu chanjo ya UVIKO19
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofy Dkt. Frederick Shoo amesisitiza kuwa chanjo inayotolewa kudhibiti athari za maambukizi ya ...Ifahamu mikoa inayoongoza Tanzania kwa kutoa chanjo ya UVIKO19
Ikiwa ni zaidi ya miwili tangu kuzinduliwa kwa chanjo dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO19) nchini Tanzania, zaidi ya Watanzania ...Waziri Gwajima aagiza madaktari wanaopotosha kuhusu Corona wawajibishwe
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Madaktari Tanzania (MAT) kuwachukulia hatua zikiwemo ...Serikali kupitia kodi kwenye taasisi za kidini
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inafanya tathmini kwenye taasisi za kidini ili kubaini zinazofanya biashara elimu na afya na ...