Afya
Bunge latekeleza agizo la Rais Samia kuhusu bima ya afya
Bunge la Tanzania leo limepitisha muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ambayo yanalenga kuongeza umri ...Asakwa kwa kumfumua mgonjwa kidonda baada ya kushindwa kulipia
Mhudumu wa afya ambaye hajafahamika jina lake wala kituo cha kazi amedaiwa kufumua nyuzi kwenye kidonda cha mgonjwa kwa madai mgonjwa huyo ...Rais Samia alivyombana Askofu Gwajima hadharani chanjo ya Corona
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amezungumza na wakazi wa Tegeta. Dar es Salaam na kuwaeleza masuala mbalimbali ambayo serikali inakusudia ...Rais Samia: Lengo ni wananchi wote wachanjwe
Akizungumzia chanjo ya UVIKO-19 katika Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ...Prof Janabi: Wasiochanjwa hatarini zaidi kuganda damu wakiugua
Wakati baadhi ya watu wakidai kuwa hawataki kuchoma chanjo ya UVIKO-19 kwa hofu kuwa watapata tatizo la damu kuganda, Mkurugenzi Mtendaji wa ...Muuguzi Arusha asimamishwa kazi kwa kuigiza kuchoma chanjo ya UVIKO-19
Wizara ya imeagiza kusimamishwa kazi kwa miezi mitatu Muuguzi Msajiliwa, Scholastica Kanje anayefanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru, Arusha, ...