Afya
Utafiti: 5.8% wanaotumia dawa za VVU wana tatizo la usugu
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umeonesha asilimia 5.8 ya Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi ...Mwanariadha wa Uganda achomwa moto na mpenzi wake
Mwanariadha wa nchini Uganda, Rebecca Cheptegei (33) amelazwa katika hospitali moja nchini Kenya, baada ya kudaiwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto na ...Kiwanda cha kuzalisha bangi Rwanda kukamilika Septemba
Ujenzi wa kiwanda cha kuzalisha bangi katika Mji wa Musanze uliopo Kaskazini mwa Rwanda unatarajiwa kukamilika katika wiki ya kwanza ya mwezi ...Rais Samia kuwagharamia walioshindwa kupandikiza figo
Wagonjwa wenye changamoto ya figo wanaohitaji kupandikizwa figo ambayo ni tiba stahiki kwa wagonjwa wanaosafisha damu na hawana uwezo wa kulipia gharama ...Huduma ya NHIF yarejeshwa hospitali za Aga Khan
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeeleza kurejeshwa kwa huduma kwa wanachama wake katika Hospitali za Aga Khan, mpaka pale ...Wanakijiji wamchangia kiwanja muuguzi kwa kuwahudumia kwa upendo
Wananchi wa Kijiji cha Ngomai Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wamechanga zaidi ya TZS milioni 4 kwa ajili ya kumnunulia muuguzi wa ...