Afya
Jafo: Wamiliki bar, vilabu vinavyopiga kelele jela miezi 6 na kufungiwa biashara
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amewaagiza wamiliki wa kumbi za starehe na burudani kuhakikisha ...Faini elfu 50 kwa wanaotupa taka hovyo
Mkuu wa mkoa wa Iringa, Queen Sendiga amepiga marufuku wananchi wote kutupa takataka na kuchafua mazingira hovyo ili kuendelea kuyaweka mazingira kuwa ...Masuala la ugaidi na Corona yatawala mkutano wa SADC
Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) leo wamekutana mjini Maputo nchini Msumbiji katika mkutano wa ...Tanzania kujiunga na mpango wa kusambaza chanjo wa COVAX
Tanzania inatarajia kujiunga na mpango wa kugawa chanjo ya Corona wa COVAX, Shirika la Afya Duniani limeeleza ambapo chanjo hizo zinaweza kuwasili ...COVID19: Rais Samia ataka nchi za Afrika kusamehewa madeni
Kutokana na athari za COVID19 katika uchumi wa nchi mbalimbali hasa za Afrika, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa ...Rais Samia aagiza utaratibu wa kutoa PF.3 kubadilishwa
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan ameliagiza jeshi la polisi kuangalia upya utaratibu wa utoaji wa fomu ...