Afya
Yasemwayo mitandaoni kuhusu chanjo ya Corona Tanzania
Mei 18, kamati maalum iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuishauri serikali kuhusu ugonjwa wa Corona iliwasilisha ripoti yake kwa Rais Ikulu, ...Rais Samia azungumzia Chanjo ya Corona
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania waendelee kuchukua tahadhari kama zinavyoelezwa na wataalumu kuhusu ugonjwa wa Corona. Aidha, amewatoa hofu wananchi kuwa ...Gwajima: Tanzania haiwezi kuwa jaribio la chanjo ya Corona
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ameitaka serikali kujiridhisha na usalama wa chanjo za COVID19 kabla ya kuanza kutumiwa na Watanzania. Gwajima amesema ...SUA kuwafundisha panya kutambua virusi vya Corona
Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wamesema kuna uwezekano mkubwa wa panya wakatumika kwenye kutambua maambukizi ya virusi vya ...Daktari jela miaka 200 kwa kukutwa na makosa 60
Mahakama ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe imemhukumu aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mlowo, Semeni Mswima kifungo cha miaka 200 jela ...