Afya
Dkt. Janabi: Ulaji futari nyingi unachochea mshtuko wa moyo
Katika mwezi huu wa Ramadhan familia nyingi nchini na duniani kwa jumla kuna nchi ambazo raia wake wanafunga saumu hii tukufu kama ...Wizara ya Afya yawataka wananchi kuvaa barakoa inapolazimika
Wizara ya Afya imewataka wananchi kuendelea kuchukua tahahdari dhidi ya COVID19 ikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa pale inapolazimika, kutokuwa na hofu ...Wakamatwa wakidaiwa kuuza mishikaki ya nyama ya Mbwa Msamvu
Waswali husema, ukimchungaza sana bata hutamla, lakini wakati mwingine ni heri uchungeze ili ujue unachokula ni nini. Watu watatu wamekamatwa baada ya ...Wizara ya Afya yatangaza kanuni 8 za kujikinga na #COVID19
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kusimamia na kusisitiza utekelezaji wa tahadhari ya magonjwa mbalimbali yasiyoambukiza na ...Rais Magufuli awataka Watanzania kujikinga na Corona
Rais Dkt. Magufuli amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona kama zinavyoelekezwa na wataalamu wa afya na amefafanua kuwa ...WHO: Watanzania wengi wanaokwenda nje ya nchi wana COVID19
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameitaka Tanzania kutumia njia zinazoaminika kuwa zinazuia maambukizi ya virusi vya corona, itoe takwimu ...