Afya
Wanaosambaza taarifa za vifo mitandaoni kushughulikiwa
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba ameviagiza vyombo husika kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wale wote wanaozua taharuki kwa ...Apata faida TZS bilioni 6 kwa kuuza chanjo bandia ya Corona
China inamshikilia kiongozi wa kundi moja ambaye ametengeneza mamilioni ya fedha kwa kuuza chanjo bandia ya virusi vya corona. Mtu huyo aliyefahamika ...Dkt. Abbasi: Chanjo za Corona zikithibitika, Tanzania itazitumia
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa Tanzania haijadharau chanjo ya corona lakini pia haiwezi kuwa sehemu ya ...Dkt. Gwajima: Hakuna ugonjwa wa ajabu Kata ya Ifumbo, Mbeya
Wizara ya afya imekanusha taarifa za uwepo wa ugonjwa usiofahamika wala janga lolote la kiafya katika Kata ya Ifumbo, Wilaya ya Chunya ...Corona: Wasafiri kutoka Tanzania na DRC wazuiwa kuingia Uingereza
Uingereza imetangaza kuzuia wasafiri kutoka Tanzania na Jamhuri ya Kidemojrasia ya Congo kuingia nchini humo kuanzia leo Ijumaa (Januari 22, 2021) ikiwa ...