Afya
Afrika yatokomeza ugonjwa wa Polio
Afrika imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya baada ya kufanikiwa kutokomeza ugonjwa wa polio, Nigeria ikiwa ni nchi ya mwisho kuwa ...WHO yazitaka nchi za Afrika kufungua shule kuepusha mimba za utotoni
Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto (UNICEF) yamezihimiza nchi za Afrika kufungua shule na ...Afya: Vyakula vya kuepuka ili upungue na kutokuwa mnene
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mijadala usiyokuwa na mwisho kuhusu aina ya vyakula mtu anavyotakiwa kutokula mara kwa mara ama kutokula ...Madagascar hatarini kuelemewa na wagonjwa wa corona
Maafisa kutoka katika baadhi ya hospitali jijini Antananarivo, Madagascar wametahadharisha kuwa huenda maeneo ya kutoa huduma yakaelemewa na wagonjwa kutokana na kuongezeka ...Watanzania wanaosafiri nje kulipa TZS 40,000 kupimwa Corona
Serikali imeandaa mwongozo wa kuwapima wasafiri wanaokwenda nje ya nchi hususani zile zenye hitaji la kupimwa maambukizi ya COVID-19 ambapo raia wa ...KENYA: Polisi akamatwa akijamiiana na muathirika wa COVID19 kwenye kituo cha karantini
Askari Polisi aliyekuwa akilinda kituo cha kuwaweka watu wenye maambukizi ya virusi vya corona (karantini) katika Kaunti ya Busia nchini Kenya amekamatwa ...