Afya
Madagascar: Maseneta wawili wafariki kwa corona, 25 wakutwa na maambukizi
Watunga sheria wawili, seneta mmoja na naibu seneta mmoja wamefariki dunia kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, Rais wa Madagascar Andry ...Corona: Kenya kufungua shule mwaka 2021
Wizara ya Elimu nchini Kenya imetangaza kuwa shule za msingi na na sekondari zitafunguliwa mwaka 2021, kutokana na athari zilizosababishwa na janga ...Madagascar yarejesha ‘lockdown’ baada ya visa vya corona kuongezeka
Miezi miwili tangu ilipolengeza masharti ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona ikiwa ni pamoja na kufungua shule, Mji Mkuu wa ...Serikali yafunga vituo 74 vya kutibu waathirika wa corona
Serikali imeendelea kufunga kambi/vituo vilivyokuwa vinatumika kwa ajili ya kuwaweka na kuwatibu watu wenye maambukizi ya virusi vya corona nchini, ambapo hadi ...Bangi tani 2 zachomwa moto wilayani Arumeru, Arusha
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi imekamata na kuteketeza magunia 140 ambayo ni ...Virusi vipya vya mafua vyabainika kwa nguruwe China
Wanasayansi wamebaini uwepo wa aina mpya ya virusi vinavyosababisha mafua (flu) nchini China ambavyo vinahofiwa kuwa huenda vikasababisha janga la dunia. Wataalamu ...