Afya
Matokeo ya utafiti wa dawa ya Dexamethasona yaleta matumaini kutibu corona
Matokeo ya majaribio ya dawa ya dexamethasone yaliyofanyika nchini Uingereza yameonesha kuwa inaweza kuokoa maisha ya watu walio mahututi wanaougua ugonjwa wa ...Shirika la Afya Duniani labadili msimamo wake kuhusu uvaaji wa barakoa
Shirika la Afya Duniani (WHO) limebadilisha ushauri wake kuhusu uvaaji wa barakoa, ambapo sasa limesisitiza uvaaji (wa barakoa) katika maeneo yenye watu ...Rais Magufuli aagiza wanaogawa barakoa zisizothibitishwa wakamatwe
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli amewaagiza viongozi katika maeneo mbalimbali nchini kuwakamata na kuwahoji wale wote wanaogawa barakoa kwa wananchi ili waeleze ...Kenya yabaini uwepo wa aina (strains) tisa za virusi vya corona
Taasisi ya Utafiti wa Tiba nchini Kenya (KEMRI) imethibitisha uwepo wa angalau aina (strains) tisa za virusi vya corona vinavyosambaa nchini humo. ...Dawa za kukuza misuli zinavyoathiri nguvu za kiume na maumbile
Dawa za steroids zimetengenezwa na binadamu na hutumika kutibu matatizo mbalimbali ikiwa ni pamoja na matatizo ya homoni kama vile kuchelewa kubalehe. ...