Afya
APHFTHA yakubali kutoa huduma kwa wanachama wa NHIF
Uongozi wa Bodi ya Wamiliki wa Vituo vya Afya vya Binafsi (APHFTHA) na Jumuiya ya Wamiliki Hospitali Binafsi Zanzibar (ZAPHOA) umesema kufuatia ...Muhimbili yaja na mpango wa dharura kuhudumia wanachama wa NHIF
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umesema Hospitali hiyo imeongeza muda wa kuona wagonjwa katika kliniki zote za Upanga kupitia vyumba ...Msimamo wa Serikali kuhusu utekelezaji wa kitita kipya cha NHIF
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa rai kwa hospitali zote zilizositisha kutoa huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima Afya ...APHFTA wagoma kutoa huduma kwa kitita kipya cha NHIF
Baada ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutangaza kuanza matumizi ya kitita kipya cha mafao kitakachoanza Machi Mosi, 2024, ...Muhimbili kuzindua benki ya kuhifadhi mbegu za uzazi
Wizara ya Afya imesema Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imeanza huduma ya kuhifadhi mbegu za uzazi ambapo hivi karibuni Rais Samia Suluhu ...Wasifu mfupi wa Profesa Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili
Profesa Mohamed Janabi ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili aliyebobea kwenye magonjwa ya moyo. Amekuwa akishauri masuala ya ulaji ...