Afya
Kampuni ya Marekani yatangaza mafaniko ya awali ya chanjo ya corona
Kampuni ya kibiolojia ya Marekani, Moderna, imeripoti matokeo chanya ya awali ya chanjo ya kukabliana na virusi vya corona kufuatia majaribio ya ...Takwimu za wagonjwa wa corona waliopo Tanzania hadi leo Mei 17
Rais wa Tanzania, Dkt Magufuli amesema kuwa hali ya maambukizi ya virusi vya corona nchini imeanza kupungua na hivyo kupelekea baadhi ya ...Rais Magufuli: Mwanangu aliugua corona, akajifukiza, amepona
Rais DKt John Pombe Magufulia amesema kuwa mwanae wa kumzaa alipata maambukizi ya virusi vya corona, na sasa ni mzima wa afya. ...Kenya yafunga mipaka yake na Tanzania na Somalia kwa siku 30
Serikali ya Kenya imetangaza kufunga mipaka yake na Tanzania na Somalia kuanzia leo Mei 16, 2020 saa sita usiku ikiwa ni sehemu ...Taarifa ya wizara afya kuhusu kupungua kwa wagonjwa wa corona Tanzania
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya wagonjwa wenye maambukizi ya virusi vya corona ...Raia wa China waliokwenda kutibu Corona Nigeria ni mafundi wa kampuni ya ujenzi
Katika hali ya kushangaza mamlaka nchini Nigeria zimesema kuwa hazifahamu ilipo timu ya madaktari 15 wa binadamu raia wa China iliyowasili nchini ...