Afya
Waziri Ummy Mwalimu: Corona itaendelea kuwepo tujifunze kuishi nayo
Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema kuwa kuna haja ya Watanzania kujifunza kuishi na virusi vya corona kwa sababu vitaendelea ...Virusi vya corona huenda visiishe kabisa, WHO imetahadharisha
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa virusi vya corona huenda visiishe kabisa, huku likitoa tahadhari dhidi ya wanaojaribu kueleza lini virusi ...Teknolojia inavyotusaidia kupambana na kirusi cha corona
Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umeleta athari nyingi kwa jamii zetu na kuathiri kwa kiasi kikubwa wananchi na watoa huduma ...Mamlaka zakana kuitambua dawa ya COVIDOL inayodaiwa kutibu Corona
Dawa iliyopewa jina la COVIDOL inayodaiwa kutibu ugonjwa hwa homa ya mapafu (COVID-19) unaosababishwa na virusi vya corona imeleta mtafaruku baada ya ...Corona: Hatua za kuchukua kwa wenye wafanyakazi wa ndani kujikinga na Covid-19
Katika kukabilina na maambukizi ya virusi vya corona, watu wengi hasa wenye wasaidizi wa kazi majumbani mwao wameonesha kuwa na wasiwasi wa ...Haya ni makundi matatu yatakayofanyiwa majaribio ya dawa za corona
Mganga Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Prof. Abel Makubi ameeleza kuwa dawa za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona zilizoingizwa nchini ...