Afya
Matengenezo ya maabara ya taifa yakwamisha utoaji taarifa za corona
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeeleza kuwa kwa muda wa siku saba sasa haijatoa taarifa za hali ya maambukizi ya virusi vya ...Utafiti: Waafrika wengi watateseka njaa serikali zikiweka ‘lockdowns’
Nchi mbalimbali zikiendelea kuchukua hatua mbalimbali kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona, mbili ya tatu ya watu walioohojiwa katika utafiti uliohusisha nchi ...Orodha ya madaktari wapya 610 na vituo walivyopangiwa
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imeeleza kuwa zoezi la uchambuzi wa maombi ya kazi za udaktari yaliyopokelewa kuanzia tarehe 24 Machi, 2020 ...Utafiti: Wanasayansi wasema huenda corona inaambukizwa kwa kujamiiana
Mjadala mkubwa umeibuka tena duniani baada ya mtafiti kutoka nchini China kubaini uwepo wa virusi vya corona katika shahawa za mwanaume, hivyo ...Corona: Naibu Waziri wa Afya asema dalili za wagonjwa nchini na nje ya nchi zinatofautiana
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ameiagiza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ...