Afya
Idadi ya waathirika wa corona Tanzania yafikia 480
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametoa taarifa ya mwenendo wa Ugonjwa wa Corona nchini ambapo amesema ...Corona: Picha za hoteli ya Diamond Platnumz aliyotoa iwe karantini
Mwanamuziki Diamond Platnumz ametoa hoteli yake jijini Dar es Salaam ili kutumiwa na serikali kuwaweka watu wenye maambukizi au wanaoshukiwa kuwa na ...Msimamizi wa upimaji virusi vya Corona Kenya ashushwa cheo
Kushushwa cheo kwa mtaalamu aliyekuwa anahusika na upimaji wa sampuli za virusi vya corona nchini Kenya kumeibua mjadala mkubwa miongoni mwa wafanyakazi ...Wagonjwa walazimisha kutoka Hospitali ya Amana
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, amethibitisha kuwa baadhi ya wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dar es Salaam, Amana, walitaka ...Corona: Rais Magufuli asema Dar es Salaam haitofungwa (lockdown)
Rais Magufuli amesema Serikali haitawafungia wananchi majumbani (lockdown) wala kulifunga Jiji la Dar es Salaam kama ambavyo baadhi ya watu wamependekeza, ili ...