Afya
Kenya yafunga mipaka yake na Tanzania na Somalia kwa siku 30
Serikali ya Kenya imetangaza kufunga mipaka yake na Tanzania na Somalia kuanzia leo Mei 16, 2020 saa sita usiku ikiwa ni sehemu ...Taarifa ya wizara afya kuhusu kupungua kwa wagonjwa wa corona Tanzania
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya wagonjwa wenye maambukizi ya virusi vya corona ...Raia wa China waliokwenda kutibu Corona Nigeria ni mafundi wa kampuni ya ujenzi
Katika hali ya kushangaza mamlaka nchini Nigeria zimesema kuwa hazifahamu ilipo timu ya madaktari 15 wa binadamu raia wa China iliyowasili nchini ...Waziri Ummy Mwalimu: Corona itaendelea kuwepo tujifunze kuishi nayo
Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema kuwa kuna haja ya Watanzania kujifunza kuishi na virusi vya corona kwa sababu vitaendelea ...Virusi vya corona huenda visiishe kabisa, WHO imetahadharisha
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa virusi vya corona huenda visiishe kabisa, huku likitoa tahadhari dhidi ya wanaojaribu kueleza lini virusi ...Teknolojia inavyotusaidia kupambana na kirusi cha corona
Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umeleta athari nyingi kwa jamii zetu na kuathiri kwa kiasi kikubwa wananchi na watoa huduma ...