Afya
Nchi 13 zisizo na maambukizi vya coronavirus mpaka sasa
Mpaka kufikia Disemba mwaka 2019 homa ya kirusi cha corona ilikuwa nchini China tu. Lakini majuma machache baadaye ikaanza kusambaa maeneo mbalimbali ...Sekta binafsi Tanzania inavyosaidia kupambana na homa ya kirusi cha Corona
Katika siku za karibuni kumekuwa na habari nyingi kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa kupambana na kuenea kwa homa ya kirusi cha corona. Wiki ...Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Hatujazuia ibada ili waumini waliombee taifa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali haijazuia watu kwenda kwenye nyumba za ibada kusalia, ili waumini watumie ibada hizo kuliombea taifa. ...