Biashara
Waziri wa Mawasiliano Afrika Kusini ashutumiwa kwa kujaribu kubadilisha sheria ya umiliki kwa kampuni ya ...
Mwanasiasa mwandamizi wa Afrika Kusini amemtuhumu Waziri wa Mawasiliano, Solly Malatsi, kwa kujaribu kulegeza sheria za umiliki wa ndani za nchi hiyo ...Trump atishia kuiongezea China ushuru mwingine wa asilimia 50
Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kuiwekea China ushuru wa ziada wa asilimia 50 kwa bidhaa zinazoingizwa Marekani ikiwa haitafuta ushuru wake ...Serikali yaahidi kushirikiana na wadau kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu itaendelea kufanya maboresho zaidi ya mazingira ya ...Ushuru mpya wa Trump watikisa masoko ulimwenguni
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza ushuru mpya kwa bidhaa zote zinazoingia nchini humo, kiwango cha chini kikiwa asilimia 10, huku baadhi ...Kampuni ya xAI yaununua mtandao wa X
Mfanyabiashara Elon Musk amesema kampuni aliyoianzisha ya matumizi ya akili mnemba iitwayo xAI imeununua mtandao wa kijamii wa X [zamani Twitter]. Musk ...‘Lipa ChapChap’: Benki ya Exim Yaja na Mapinduzi ya Malipo Kidijitali
Benki ya Exim Tanzania imechukua hatua madhubuti katika kuunda mustakabali wa malipo ya kidijitali kwa kuzindua ‘Lipa ChapChap’, suluhisho la malipo yasiyotumia ...