Biashara
Meneja kampuni ya LBL Katavi na wenzake watatu wakamatwa kwa kufanya biashara ya upatu mtandaoni
Jeshi la Polisi mkoani Katavi linawashikilia watu wanne akiwemo Meneja wa Kampuni ya LBL mkoani humo, Ashery Birutsi (35), Paschal Mathias (34), ...Wafanyakazi wa Kenya Pipeline kwenda jela kwa wizi wa mafuta
Wafanyakazi wawili wa zamani wa Kampuni ya Kenya Pipeline (KPC) wamehukumiwa kulipa faini ya Ksh milioni 10 kila mmoja [TZS milioni 202.06] ...Serikali: Kubadili jina la kampuni haiathiri wala haihusiani na masuala ya kikodi
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amesema Serikali imechukua hatua madhubuti kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi unaosababishwa na mabadiliko ya majina ...Ripoti ya Kifedha ya Exim Bank 2024 Yaonesha Mafanikio Makubwa na Ubunifu wa Kifedha
Dar es Salaam, Tanzania: Benki ya Exim Tanzania imetoa ripoti yake yenye matokeo mazuri ya kifedha kwa mwaka ulioishia tarehe 31 Desemba ...Rais Samia: Baadhi ya machinga Kariakoo tutawahamishia Jangwani
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inajipanga kujenga soko jingine kubwa kama la Kariakoo katika eneo la Jangwani, Dar es Salaam kupitia ...Madereva wa malori kutoka Tanzania wakwama DRC kufuatia machafuko
Madereva kadhaa wa malori kutoka Tanzania wamekwama katika mji wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kutokana na machafuko yanayoendelea katika ...