Biashara
Mchimbaji mdogo aibuka na mawe ya Tanzanite yenye thamani ya bilioni 7.8
Kuna msemo wa Kiswahili ambao husema “Mtafutaji Hachoki,” na wengine huongezea kuwa akichoka ujue kapata. Huo ndio msemo unaoweza kutumika kuelezea hali ...Makubaliano yaliyofikiwa na Tanzania na Uganda kuhusu madereva wa malori Mpaka wa Mutukula
Usafiri wa malori kati ya Tanzania na Uganda katika Mpaka wa Mutukula umerejea kufuatia nchi hizo mbili kufikia makubaliano juu ya hatua ...Mtandao wa WhatsApp wazindua huduma ya kutuma na kupokea fedha
Baada ya miezi kadhaa ya mazungumzo na majaribio, mtandao wa WhatsApp umezindua huduma ya malipo kupitia programu tumishi hiyo. Mtandao huo wa ...Serikali: Kuwekeza kwenye vitu ndio kunawezesha maendeleo ya watu
Serikali imesema kuwa nchi haiwezi kupata maendeleo ya watu bila kuwekeza kwenye vitu, ndiyo maana awamu ya tano imewekeza kwenye vitu ikiamini ...Nafasi ya teknolojia ya kidijitali katika kuendeleza uchumi wa Tanzania
Na Martin Nyeka UDBS Katika miaka mitano iliyopita, idadi ya watumiaji wa simu katika eneo la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara ...Teknolojia ya kidijitali inavyoleta mapinduzi ya kiuchumi Tanzania
Katika miaka ya karibuni ukuaji wa teknolojia ya kidijitali umezipa nchi nyingi faida mbalimbali za kibunifu ambazo zinazochochea maendeleo ya watu na ...