Biashara
Serikali yaagiza mafuta ya mikoa ya Kaskazini kuchukuliwa Bandari ya Tanga
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewaagiza wasambazaji wa bidhaa za petroli katika mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha ...Tanzania yaziruhusu ndege za Kenya kuingia nchini
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeondoa zuio la kutoingia nchini ililokuwa imeweka dhidi ya ndege za Shirika la Ndege la ...SIMU YENYE KAMERA KALI NA KASI YA NGUVU-INFINIX ZERO 8 YAZINDULIWA
Kampuni ya simu, Infinix Mobility imekuja na toleo jipya aina ya ZERO 8. Infinix ZERO 8 ni simu yenye uwezo mkubwa kuzidi ...Wamiliki wa Pool Tables watakiwa kuyasajili wapate leseni
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni. GBT yenye jukumu la ...Tanzania kuingiza trilioni 7.5 kupitia Bomba la mafuta kutoka Uganda
Rais wa Yoweri Kaguta Museveni amefanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini ambapo ameungana na Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli ...Mtanzania akamatwa na dawa za kulevya China
Raia wa Tanzania aliyefahamika kwa jina moja la Dossa amekamatwa katika Mji wa Macau, China kwa madai ya kusafirisha dawa za kulevya ...