Biashara
Precision Air yasitisha safari zake kwenda Kenya
Kampuni ya Ndege ya Precision Air yenye makazi yake nchini Tanzania imetangaza kusitisha kwa muda safari za kwenda Nairobi nchini Kenya kwa ...Tanzania yazuia kampuni 3 za ndege za Kenya kuingia nchini
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imezuia makampuni matatu ya ndege ya Kenya kufanya safari zake nchini, kutokana na mzozo baina ...Raia/wasafiri kutoka Tanzania kuwekwa karantini siku 14 nchini Kenya
Serikali ya Kenya imefanya maboresho ya orodha ya nchi ambazo raia wake au wasafiri kutoka nchi hizo hawatawekwa karantini kwa siku 14 ...Watoa huduma ndogo za fedha watakiwa kujisajili kabla ya Oktoba 31
Serikali imewataka watoa huduma ndogo za fedha kujisajili na kukata leseni kabla ya tarehe 31 Oktoba, 2020, kipindi ambacho ni cha mpito ...Mfanyabiashara Taalib Mbowe akamatwa kwa tuhuma za utakatishaji fedha
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia kwa mahojiano mfanyabiashara na mmiliki wa Kampuni ya White Star Investiment ya jijini ...